tag:blogger.com,1999:blog-1641149835627941415.comments2023-11-11T16:37:10.011+03:00UFUGAJI BORA WA SAMAKIUnknownnoreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-1641149835627941415.post-7685491776508948242016-03-31T13:44:17.143+03:002016-03-31T13:44:17.143+03:00Bwawa huwa linatakiwa kuwa na urefu wa wastani kat...Bwawa huwa linatakiwa kuwa na urefu wa wastani kati ya Mita 1.5 mpaka 1.8, upana na urefu unategemea eneo husika lina ukubwa gani...!Fredrick Francishttps://www.blogger.com/profile/00362422707530713116noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1641149835627941415.post-44097125369569436802016-03-31T13:42:01.310+03:002016-03-31T13:42:01.310+03:00Huwa tunaita Bwawa la kufugia samaki. Matofali na ...Huwa tunaita Bwawa la kufugia samaki. Matofali na sementi vinaweza kutumika endapo udongo wa eneo unaloweka hilo bwawa una asilimia kubwa ya Mchanga, ambao hupoteza maji kwa wingi.Fredrick Francishttps://www.blogger.com/profile/00362422707530713116noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1641149835627941415.post-34617525235202070412014-09-11T15:32:51.332+03:002014-09-11T15:32:51.332+03:00Nataka mafunzo ya aquaponic agricultureNataka mafunzo ya aquaponic agricultureAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1641149835627941415.post-71885617668063229802014-05-26T13:04:30.408+03:002014-05-26T13:04:30.408+03:00NIMEFURAHISHWA SANA NA ELIMU HII NA NIMEPATA SIRI ...NIMEFURAHISHWA SANA NA ELIMU HII NA NIMEPATA SIRI YA MAFANIKIO KATIKA HILI,ASANTENIGODFREY TUKAYhttp://www.thefishsite.com/fishnews/vars/country/tznoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1641149835627941415.post-18886431206975483232014-01-16T17:14:22.096+03:002014-01-16T17:14:22.096+03:00nina eneo la kutosha nahitaji msaada wa namna ya k...nina eneo la kutosha nahitaji msaada wa namna ya kuchimba kisima kwa ajili ya kufuga samaki aina ya perege kama nilivyosoma katika tovuti hii. naishi dar es salaam nitafarijika sana nikifunzwa namna ya kuchimba kisima kwa urefu na mapanaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/08248327752917351166noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1641149835627941415.post-59150573074215186502014-01-16T16:54:53.653+03:002014-01-16T16:54:53.653+03:00hakika nimefurahi sana kupata maelekezo ya namna y...hakika nimefurahi sana kupata maelekezo ya namna ya kufuga samaki. nahitaji kuchimba kisima lakini maelekezo ya namna ya kuchimba kisima hayajitosherezi kwa mfano:- kisima kinajengwa na tofari baadae unakandika na udogo mfinyanzi au inakuaje, nisaidie nielewe nahitaji kuchimba leo hata keshoAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/08248327752917351166noreply@blogger.com