Click link hii ili Uifunze hapa umuhimu wa usalama wa mazingira ya kufugia samaki (Biosecurity).

Kutokana na kuongezeka kwa Magonjwa
ya Samaki katika nchi zinazotuzunguka zikiwemo Congo, Zambia, Msumbiji, Namibia, Angola
na Afrika ya kusini, kuna umuhimu wa kuweka Mikakati ya Kudhibiti
na Kuzuia Magonjwa yasiyo na Mipaka kaingia na kuleta madhara. Maelezo haya yametolewa na Dr. Hamis Nikuli Mtaalamu wa Afya na tiba kwa Viumbe wanaofugwa kutoka Idara ya Ukuzaji viumbe Kwenye Maji-Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni